Dkt. Rugakingira kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha kwenye huduma hii iliyojizolea umaarufu ya upandikizaji wa uume kwa wanaume wenye changamoto za uzazi. Amejibu kuhusu nani anaweza kupandikiziwa uume, gharama na matarajio baada ya huduma.

Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO). Innehållet i podden är skapat av Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.