Gerson Msigwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo; na Msemaji Mkuu wa Serikali akitoa majibu ya ni kwanini Kongamano la Kiswahili la Pili la Kimataifa limefanyika nchini Ufaransa na si kwingineko.
Pia tumezungumzia asili ya makongamano ya kiswahili ya kimataifa, fursa na ushiriki wa wananchi katika makongamano haya.
Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO). Innehållet i podden är skapat av Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) och inte av,
eller tillsammans med, Poddtoppen.