Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akizungumza mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho wa kibalozi kwa Mheshimiwa Abdelmadjid Tebboune, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, katika hafla iliyofanyika kwenye Ikulu ya Algiers tarehe 10 Juni, 2026.
Balozi Mobhare Matinyi anayeiwakilisha Tanzania nchini Algeria, ametoa wito kwa Watanzania kutumia fursa za ushirikiano mzuri baina ya nchi hizi kufaidika katika nyanja mbalimbali.
Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO). Innehållet i podden är skapat av Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) och inte av,
eller tillsammans med, Poddtoppen.