Kuelekea Michuano ya AFCON 2027 ambayo Tanzania anatarajiwa kuwa mwenyeji wa michuano hii mikubwa Barani Afrika, tumemualika Bw. Allan Allex, Afisa Michezo Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Afisa Programu wa Baraza la Michezo la Afrika Kanda ya Nne.

Tumezungumza kuhusu fursa zilizopo, zinazoendelea kujitokeza na zinazotarajiwa kujitokeza katika michuano hiyo na namna Mtanzania anaweza kunufaika nazo.



Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO). Innehållet i podden är skapat av Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.