Avsnitt Makala Leo: Argentina na Uhispania zaishi ndoto zakipekee za Kombe la Dunia SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Argentina na Uhispania wanaishi ndoto ya kipekee ya Kombe la Dunia, baada yakutinga fainali ya kombe hilo. Mjini Buenos Aires na Madrid, mashabiki wanachangia jinsi walivyopitia tamthilia, hisia na sherehe. Rss Apple Podcaster →