Avsnitt Australia Yafafanuliwa:Kijana wangu anaweza anza kufanya kazi lini nchini Australia? SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Kuanza kazi ya muda mfupi kunaweza kuwa uzoefu wenye maana kwa kijana, kuongeza kujithamini kwake, kumsaidia kujifunza ujuzi mpya na kupata pesa zake za kwanza. Rss Apple Podcaster →