Habari kuu wiki hii ni pamoja na mkataba wa amani uliosainiwa kati ya Rwanda na Drc chini ya usimamizi wa Washington, tutaangazia siasa wa Uganda na Tanzania, halkadhalika hali ya kibinadamu nchini Sudan, WHO kuonya kuhusu ongezeko la maambukizo na vifo kutokana na Malaria.
Tutaangalia hali kule Guinea Bissau baada ya mapinduzi, tutachambua kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini pia mkutano kati ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenzake wa China Xi Jinping.
Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör
Unknown. Innehållet i podden är skapat av Unknown och inte av,
eller tillsammans med, Poddtoppen.