Avsnitt Taarifa ya Habari: Upinzani wa mseto wapanga njama yakuzuia kupitishwa kwa sheria ya kodi ya serikali ndani ya Seneti SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Mabadiliko ya kodi ya serikali ya shirikisho yamepitishwa ndani ya nyumba la Wawakilishi - ila, upinzani wa mseto hauja tupilia mbali uwezekano wa muungano na chama cha Greens kuzuia mabadiliko hayo kupitishwa ndani ya Seneti na kuwa sheria. Rss Apple Podcaster →