Avsnitt Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026. Rss Apple Podcaster →