Avsnitt AI, Ibada na Kanisa: A Conversation with Pastor Delphinus Rwegasira Tikvah's Podcast Spela Dela
Send us Fan Mail Katika episode hii ya Tikvah Podcast, tunakaa na Pastor Del kuzungumza kuhusu Artificial Intelligence na nafasi yake ndani ya Kanisa. Je, AI inaweza kutumika kama tool kwenye worship, teaching, na Christian content creation? Au Kanisa linapaswa kuwa makini zaidi? This conversation is about wisdom, discernment, biblical truth, and keeping Christ at the center in a fast-changing world. AI inaweza kuwa tool, but Christ remains the center. Rss