Katika zama hizi za kidijitali tulizonazo, kulinda usalama wa taarifa zako kwenye mitandao ni muhimu kuliko ilivyokuwa hapo awali. Jiunge nasi katika video hii tunapoongelea njia tano (5) muhimu za kuimarisha usalama wako mtandaoni. Jifunze jinsi ya kulinda namba yako ya simu, kuweka kinga imara kwenye akaunti zako za baruapepe, kuhifadhi alama za vidole vyako, kujilinda dhidi ya tishio la "deepfake," na kuweka sauti yako salama kutokana na matumizi mabaya kwa njia ya uigizaji wa AI.
Epuka vitisho vya kimtandao na kufurahia mtandao usalama zaidi
Usisahau kubofya kitufe cha like, kusajili, na kugonga kengele ya taarifa ili kupata taarifa nyingine kama hizi na kuongeza mbinu za usalama wa mtandao!
Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör
Michael Kamukulu. Innehållet i podden är skapat av Michael Kamukulu och inte av,
eller tillsammans med, Poddtoppen.