LENZI Podcast with Michael Kamukulu

LENZI Podcast with Michael Kamukulu

Dela

Jifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Pata uchambuzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili.

Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha biashara yako ama kufungua mradi mpya, au mtu binafsi unayetaka kuongeza ufanisi wako, p...

Visa mer

Jifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Pata uchambuzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili.

Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha biashara yako ama kufungua mradi mpya, au mtu binafsi unayetaka kuongeza ufanisi wako, podcast yetu ina kitu kwa ajili yako.

SIKILIZA ILI UWEZE KUJIFUNZA

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör Michael Kamukulu. Innehållet i podden är skapat av Michael Kamukulu och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.