Avsnitt Taarifa ya Habari:Umaarufu wa chama cha One Nation, walazimisha vyama vya kisiasa nchini kubadili mitazamao yao SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema serikali lazima zishughulikie mfadhaiko katika uchumi unaoongezeka, baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha ongezeko la uungwaji mkono kwa chama cha One Nation. Rss Apple Podcaster →