Avsnitt Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST) SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti. Rss Apple Podcaster →