Muziki Ijumaa
Avsnitt

Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa

Dela

Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji.

Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör Unknown. Innehållet i podden är skapat av Unknown och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.