UKATILI WAKATI WA UTOTO NA AFYA YA AKILI.

Watoto hawana lugha ya nzuri ya mawasiliano hasa ya kihisia, kadhalika hawana stadi nzuri za kutatua matatizo na changamoto mbali mbali. Wanapokabiliana na ukatili, eidha kwa kuhusishwa au kushuhudia kunahatarisha uwezo wao wa kusawazisha husia zao hata wanapokuwa watu wazima. Hali hii huharibu stadi za mawasiliano na mahusiano. Mjadala wetu utajikita kwenye kuonesha namna bora ya kumuepusha mtoto na majanga yatakayomuweka katika hatari ya kupata Changamoto za Afya ya Akili.

CHILDHOOD VIOLENCE AND MENTAL HEALTH.

Children do not have a good communication language, especially emotional ones, and they also do not have good skills to solve various problems and challenges. When they face violence, either by being involved or witnessing it, it jeopardizes their ability to balance their relationships even as adults. This condition destroys communication skills and relationships. Our discussion will focus on showing the best way to avoid the child from disasters that will put him at risk of getting Mental Health Challenges.

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör Ayya, Inc.. Innehållet i podden är skapat av Ayya, Inc. och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.