Kufuatia tahadhari iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Nino, kupitia Maelezo Podcast ili kupata ufafanuzi tumezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a ambayeanaeleza kuhusu mvua hizi zinavyotokea na tahadhari za kuchukua.

Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO). Innehållet i podden är skapat av Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.