FUATA BIBLIA IKUONGOZE

FUATA BIBLIA IKUONGOZE

Dela

Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:1...

Visa mer

Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32

Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.

Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu.

Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki.

Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör FUATA BIBLIA. Innehållet i podden är skapat av FUATA BIBLIA och inte av, eller tillsammans med, Poddtoppen.